Tafuta/Search This Blog

Showing posts with label by Enson. Show all posts
Showing posts with label by Enson. Show all posts

Tuesday, September 30, 2008

Patashika NGUO kuchanika Pale TAG Kigogo. Gwiji la Makapela Simon Mmbaga alipokua Akitangaza uchumba na Joyce Tembo. we acha tu

We we we ilikua hapakaliki, Hata Mapaparazi waliacha kazi yao na kuanza kuyaruka majoka(kushangilia) nilibaki Mwenyewe paparazi. Thibitisha kwa kumwonw huyo aliyenaswa na kamera ya Shalom Broz. Simon Huyo akishangiliwa vikali.
Dada Joyce akiburutwa mbele na washabiki waliomiminika kanisa la TAG Kigogo. angalia mwenyewe
Umati wote huuu kwa ajili ya Simon na Joy.
Simon na Joyce wakitangazwa kuwa ni wachumba.

Hatuamini (KWELI HATUAMINI)

Simon Mmbaga Akiwa mbele ya umati ili kuutangazia umma yanayojiri. alininong'oneza kuwa Haamini yanayo endelea pale.Joyce Tembo mbele ya umati. Kweli hata yeye alikua haamini yanayoendelea.

Baada ya Pete Kupigwa Sala, Simon aliuhakikishia UMA kuwa amemtwaa Joyce kama Mchumba wake

MAMA Mch. Happy Lwendo akiombea Pete ili Uchumba Udumu na kisha SIKU hiyo! Ifike"Pokea Pete hii ikiwa ni ishara ya kukuhakikishia kuwa wewe Joyce ni Mchumba wangu Halali."Maneno ya Simon akiingiza pete ktk kidole cha Joyce Tembo kiitwacho 'Chapete'
Mtoto Iluminata, akipeleka zawadi kumkabidhi Joyce ili naye aonyeshe mwitikio wa pete ile. (acceptance)


Monday, September 8, 2008

Mr Amos Mwakifuna na Mke wake Mpenzi

Arusi ya Amos Mwakifuna wa Dar es Salaam Tanzania iliyofungwa leo Tar 7 Septemba 2008 Kanisa la Agape Life (maarufu ATN) Walipendeza Sana. Shalom Broz walifanya kazi ya kupiga picha Mnato (Steel Pics)