Tafuta/Search This Blog

Tuesday, September 30, 2008

Baada ya Pete Kupigwa Sala, Simon aliuhakikishia UMA kuwa amemtwaa Joyce kama Mchumba wake

MAMA Mch. Happy Lwendo akiombea Pete ili Uchumba Udumu na kisha SIKU hiyo! Ifike"Pokea Pete hii ikiwa ni ishara ya kukuhakikishia kuwa wewe Joyce ni Mchumba wangu Halali."Maneno ya Simon akiingiza pete ktk kidole cha Joyce Tembo kiitwacho 'Chapete'
Mtoto Iluminata, akipeleka zawadi kumkabidhi Joyce ili naye aonyeshe mwitikio wa pete ile. (acceptance)


1 comment:

Anonymous said...

mimi nimevutiwa na mama mch, aka Happy Lwendo. next time onesha picha yake vizuri nimuone mama mkwe.. halo halo!