Tafuta/Search This Blog

Saturday, September 20, 2008

From Arusha with Love!!

Leo ni birthday ya rafiki yetu mpendwa anayeitwa Godfrey. Amezaliwa miaka kadhaa iliyopita. nimeona nimuenzi kwa kuweka picha zinazomhusu hapa katika blog yetu. Kwa bahati mbaya quality yake sio nzuri saaana kwani zilichukuliwa na camera ya simu.



Huyu ndiye Godfrey na hapo mwanzoni akiwa na dada zake wa karibu sana.



Haya na kaka godlove yupo ndani ya nyumba na godfrey na dada mwingine!!

Happy Birthday Godfrey!!

Arusha by morning!!

Jamani hii ndio njia inayoelekea nyumbani kwa kaka Godlove. Kuna watu najua mmeanza maneno, ooh jamaa anakaa chaka ooh nini....MTAJIJU!!

Kumbukeni: Njia ilee ni nyembamba iendayo uzimani.

No comments: