Tafuta/Search This Blog

Tuesday, September 30, 2008

Patashika NGUO kuchanika Pale TAG Kigogo. Gwiji la Makapela Simon Mmbaga alipokua Akitangaza uchumba na Joyce Tembo. we acha tu

We we we ilikua hapakaliki, Hata Mapaparazi waliacha kazi yao na kuanza kuyaruka majoka(kushangilia) nilibaki Mwenyewe paparazi. Thibitisha kwa kumwonw huyo aliyenaswa na kamera ya Shalom Broz. Simon Huyo akishangiliwa vikali.
Dada Joyce akiburutwa mbele na washabiki waliomiminika kanisa la TAG Kigogo. angalia mwenyewe
Umati wote huuu kwa ajili ya Simon na Joy.
Simon na Joyce wakitangazwa kuwa ni wachumba.

1 comment:

Unknown said...

MR AND MRS SIMON C M

IT IS GOOD TO SEE YOU HERE. HOPE YOU ARE MAKING EASE FOR EACH OTHER.LIFE IS GOOD ENJOY IT!

KAGARI