Tafuta/Search This Blog

Thursday, October 2, 2008

Simon tunayemfahamu!


Ze injinia!!


teh teh... ze Smile!!!


kaka unakiona kidole lakini???


Huwezi amini kwamba jamaa woote wanaoonekana kwenye hiyo picha "bado wapowapo" kasoro Simon. (Duh Hadi Fadhili a.k.a Solo)


Haya ndio mambo ya kaka Sai wa CAS. Sina la kuongezea...

Picha hizi ni kwa hisani ya mwandishi wa kujitegemea na shemasi wa viti maalum ndg Elias S. Msuya ambaye pia ametahadharisha kwamba watu wenye macho ya mamba watapatwa na kilichompata Mtikila huko Tarime.

No comments: