Tafuta/Search This Blog

Monday, October 6, 2008

Matukio mbalimbali Graduation Cecrmony ya SARAH

Sara akitoa neno ;la SHUKURANI kwa Mungu kwa kazi iliyofanyika. ASANTE YESU KWA KUNIFANIKISHA
Maeneo ya LAMADA ilikua ni sehemu ambayo mpiga picha wetu alipapenda. Nzurieeee
Sara, katikati, Matha upande wa kushoto na Angel uande wa kulia. Sara alivua tu Joho ili apate kaupepo kidogo. unajua tena Bongo joto kali
Frank akimlisha Dada yake Keki kama pongezi ya kupiga CPA tar 4Oct 2008 hiyo

No comments: