Basi nimekuta keki ya suprise hapa ofisini kwangu!! Yaani ni noma. Nilipata nafasi ya kuwalisha baadhi ya wafanyakazi wenzangu. Kumbe na Martin mfanyakazi mwenzangu amezaliwa tarehe kama ya kwangu.
Bonge la keki kwa ajili ya Hussein
Habari ndio Hiyoooo!!
No comments:
Post a Comment