Tafuta/Search This Blog

Wednesday, October 22, 2008

Bajaj Oyeee!!

Kutokana na ongezeko kubwa la matumizi ya Bajaj kama chombo cha usafiri wa haraka mijini na hasa Dar Es Salaam, leo tumeona tuwawekee picha kidogo za hiki chombo ambacho kimepata umaarufu sana kutokana pia na gharama yake nafuu ya kukikodi. Na hii pia ni dedication kwa mteja maarufu wa Bajaj kaka SOLO!!


1. Hili ni tairi la mbele

2. Hii ni pedeli ya breki

3. Hii ndi dashibodi(dashboard)


4. Huyu ni mteaja na kama kawa akiwa anabishana nauli na dereva!!

na mwisho kabisa... amekubali kushuka huku amenuna!!



Asante mama Lwendo!!












NB: Huruhusiwi kwa namna yeyote ile kutumia picha yeyote katika blog hii bila kibali cha wamiliki!!

3 comments:

Anonymous said...

kanuna kweli nakwambia, huyo mwenye bajaji ungefanyia, kwa nini amkwaze mama mchungaji wetu.. lakini sio siri, vibajaji viko economic kinoma, ageenda kupanda kingine, siku hizi ukimwaga ugali, tunamwaga mboga. lol

Anonymous said...

Jamani kwa nini mnamuonea mama yangu?

shalom broz productions said...

duh!! Watu mna upendo!! Haya bwana!!