Tafuta/Search This Blog

Wednesday, October 15, 2008

Mlima Meru


Huu ndio mlima Meru. Mlima wa pili kwa urefu Tanzania kutoka Mlima Kilimanjaro. Hii picha imepigwa na dada yetu wa Kiafrika, Firiana. Mlima huu wakati mwingine huonekana na theluji hasa nyakati za asubuhi au baada ya mvua.


Asante sana mdau wetu, Mwafrica halisi. Wadada wengine mpo??? Tumeni picha za interest zenu!

No comments: