Tafuta/Search This Blog

Monday, October 6, 2008

SARAH'S CPA GRADUATION CEREMONY 04/10/2008


Haya ni matukio katika Picha katika Graduation Ceremon ya Dada Sarah. Ilifanyika tar 4 October 2008 pale Mhasibu House Dar es Salaam. Kwa wale wenyeji wa Jiji hili wanajua ni karibu kabisa na Maktaba Kuu.

Kitu ambacho kilishangaa wengi ni kile kitendo cha Dada Sarah kumaliza Masomo yake ndani ya Miaka Miwili tuuuuuuuuuuu. Kweli Hata mimi nilisahangaa kiasi hicho.

Niligundua Baadae baada yakutafiti kuwa Sarah humtegemea Mungu katika mambo yake na huo ulikua Msaada wa MUNGU Kwake.

Posts by Shalom Broz Productions.
Pictures by Eneza (Enson)

No comments: