Tafuta/Search This Blog

Tuesday, October 21, 2008

Uchaguzi!!! Mh!!

Maombi ni muhimu sana wakati wa kutafuta deshi deshi wa kuishi naye!!


Sijui huyu?????????


au huyu???????

Kaka nanihii katika mapozi mbali mbali ya uchaguzi kama alivyokutwa na kamera ya kampuni!!

Kampuni inakutakia mafanikio katika kuchagua kati ya OBAMA au MC CAIN

3 comments:

Anonymous said...

hapana sio hao ni mimi... kampuni basi itufagilie mimi na huyo kaka nanilii.

shalom broz productions said...

Mdau,

Kabla kampuni haija kufagilia tungependa kupata medical history yako ili kwamba tuwe na uhakika kwamba hauna TB, Presha na pumu maaana kukuunganisha na huyu kijana inaweza ikakusababishia kifo cha fasta ukajishangaa upo mbele za haki bila ya kutegemea!!

take care!!

Anonymous said...

HAKYAMUNGU!!!!!