Tafuta/Search This Blog

Thursday, October 30, 2008

Tanzania Assemblies of God....

Kutokana na kuchaguliwa kwa uongozi mpya wa juu kabisa wa kanisa, jumapili ya tar 26Oct ndio ilikuwa siku ya kuwaapisha viongozi wapya. Tumepata baadhi ya picha na tumeona tuwawekee mzione.



Sehemu ya Ukumbi wa kanisa la City Christian Center (TAG Upanga) Ambapo ndio shughuli ilifanyikia.


Aliyekuwa Askofu Mkuu wa TAG Rev R. Mwenisongole akimwapisha askofu mkuu mpya.

Askofu Mkuu mpya Rev. B.Mtokambali akiwa na mkewe pamoja na ndugu wa karibu waliokuja kusindikiza anapopokea majukumu mazito ya uongozi wa Taifa katika kanisa.






Picha hizi zoote ni kwa hisani ya mdau wetu, dada Firiana. Asante sana

No comments: