Tafuta/Search This Blog

Thursday, October 16, 2008

Elias, mwandishi wa habari!!


Kwa niaba ya SBP tunatoa pongezi zetu za dhati kwa Elias a.k.a baba Uhu kwa kupata kazi mpya ya uandishi wa habari kutoka katika ile kazi ya mwanzo ambayo sitaitaja hapa kwa sababu za kiusalama.
Tunaamini kwamba huo ni mtoko wa nguvu na tunakutakia mafanikio katika maisha yako yoote. Tafadhali usitusahau katika ufalme wako!!

No comments: