Tafuta/Search This Blog

Monday, October 6, 2008

Mambo ya Sarah alipopata CPA yake Hapo Tar 4/Octoba/2008. Kizuri zaidi ametumia Miaka miwili tu Kumaliza CPA yake. Kwa kifupi anastahili Pongezi Kubwa

MAtha na Angel wakifurahi pamoja na Sarah
Matha Dory na Queen na Shem kwa mbaaaaali
Angel na Mwansiti wakimpeleka kwa furaha Sara kufurahia vzr siku hiyo
Crew nzima, Matha, Queen, Angel, Mwansiti, wakimsubiri kwa hamu Sarah aje wampe HUGS siunajua tena!!!!
Mgeni wa Heshima Naibu waziri wa Fedha akimkabidhi Sara CHETI. CPA Hiyo
Weeeee acha tu Mambo yaliku safi sana. Mtumishi wa Mungu Sarah alipopata CPA

No comments: