Tafuta/Search This Blog

Sunday, October 5, 2008

Salamu za dada Firiana kutoka Ngorongoro

Dada Firiana, mdada wa KiAfrika kama anavyojitambulisha mwenyewe ametutumia picha hizi za safari yake ya Ngorongoro.

Mchungaji wa pundamilia!??


mapozi ya kimasai


zebras


crater


Kwa maneno yake mwenyewe anasema, "Hizo ndo picha nilizozichukua bondeni. Kule bwana ndo sehemu pekee wanyama na binadamu wanaishi pamoja, wamasai wanachunga na wanyama pori nao wanaendelea na business zao.
Picha hiyo nyingine ni ngorongoro kwa juu, ukiwa juu huoni wanyama chini mana ni mbali.
"




Sisi tunampongeza sana dada Firiana kwa kupenda kutembelea hifadhi zetu za Taifa na pia kwa kupenda kujivunia uAfrika wake. Big up sana dada!!

No comments: