Tafuta/Search This Blog

Wednesday, October 8, 2008

Tarehe 5 October 2008 ilikua sikukuu ya Vijana ktk makanisa ya TAG( Tanzania Assemblies of God) Pale Kigogo/Mburahati matukio kadhaa yalirekodiwa. Ona

Kwaya ya Vijana maarufu kwaya ya CAs- Kigogo wakirindima Juu ya jukwaa. Kutoka kulia ni Ruben Kodekode, Enson, John, Mussa, Neema (Ticha) Neema Tembo naLinna.
Wengine kidogo hao
Kutoka kushoto ni Mwanamuziki Timoth, Dickson, Dorcas, Magreth
Neema akiimbisha kwa mbwembwe za kutosha, na kwa nyuma yake ni Dancer maarufu Mr Mussa, anaonekana akiyarudi na kujirusha kwa madaha ya ajabu.
Huyu ndiye alitulisha NENO la Bwana. hapa anakabidhiwa mimbari ili Mungu aseme na kanisa.

No comments: