Tafuta/Search This Blog

Monday, October 20, 2008

Graduation ya Enson....


Sisi Shalom Broz tunayo furaha isiyo kifani kwani tunaendelea kuziona baraka za Mungu kwetu kila siku.

Mungu ameonekana kwa Mwenzetu Enson (Eneza) ambae ni mmoja kati ya wamiliki wa Shalom Broz Productions. Baada ya kusubiri kwa muda mrefu hatimaye alihitimu masomo yake Digrii ya kwanza ya sheria (bachelor of Law) pale Open University of Tanzania na hivyo siku ya jumamosi Tar 25/10/2008 ni graduation yake.

Tunaomba kukukaribisha kwa moyo woote kabisa ufike bila kukosa pale Kinondoni (makao makuu Ya Open University of Tanzania) ili kushuhudia Kijana akivaa joho na kuanza kuvaa majukumu ya uanasheria!!

Karibu ufurahi pamoja nasi!!

Tunakutakia mafanikio katika ujenzi wa Taifa letu.

No comments: