Tafuta/Search This Blog

Wednesday, October 8, 2008

Hepi Besdei tu miiiiii!!!

Kutoka hapo......




Hadi hapa!!(picha ya jana tu)
Wapendwa,
Nina kila sababu ya kumshukuru Mungu kwa wema na fadhili zake nyingi sana katika maisha yangu kwani tarehe kama ya leo miaka mingi iliyopita, siku ya Jumatano, katika nyumba ya Mr & Mrs Gordon Lwendo nilizaliwa!
Nikiwa ni mtoto wa pili katika familia hii na kaka mkubwa kwa kweli sina budi kumshukuru Mungu kwajili ya familia yangu. Baba na mama wamenilea katika misingi mizuri na ninajisikia vizuri kwamba nilizaliwa katika familia yao...Nawafeel sana!!
Ndugu zangu, Esther na Joshua wamekuwa marafiki wa karibu sana nami kiasi kwamba ninamiss sana kuwa karibu nao. You are part of my life.
Sitaweza kuacha kumshukuru Mungu kwa ajili ya Enson ambaye amekuwa zaidi ya kaka na rafiki kwangu. I love you Enson with all my heart, najua kuna siku Mungu atatupa nafasi ya kupiga hatua kuubwa sana kama ilivyo mipango yetu!! together we will make it!
Mattie, you are my other half and i cherish being your other half!
Natamani nimtaje kila mtu kwani kila mtu ana nafasi kubwa kwangu lakini nafasi na Muda ndio haviruhusu.
Lakini kuna mtu mmoja wa muhimu sana nilitaka kumsahau.... naye ni wewe uliyefungua ukurasa huu. Mungu akubariki sana kwa kutufuatilia na kutoa muda wako kwa ajili ya SBP.
Nawapenda sanaaaa. All my love to you!!

5 comments:

Anonymous said...

Du Umekua sana, inabidi tu Uoe sasa,. Huyo Mattie umchukue, ni kipindi muafaka. mimi ni kakayako ila nakuruhusu tu unipite. enson

Anonymous said...

nakubaliana na kaka enson.
hujanitaja. moyo umeniuma sana kumtaja huyo mattie, i now know how serious u guys are..
u have left me speechless. happy birthday anyway...

shalom broz productions said...

Hahahahahaaaaahahahahahahahahahaaa

Anonymous said...

Im so happy for u my love. Wishing u successfull life and as u grow up may u keep on loving feearing God. I love u forever.

Enson ebu tulia.
Mattie.

Anonymous said...

hongera Godlove..
sikuwa na access ya internet kwa muda wote huo, bado inasua sua. niko TB2 na kananasi..
hee hizo comments.. si mchezo!
mi nakutakia mafanikio mema, Mungu akubariki sana... usinitupe kiivyo rafiki, dar na arusha nikaribu sana, u r still within my sight, dont give me "out sight out of mind"
Happy birthday Rafiki, namshukuru Mungu 4 u.