Tafuta/Search This Blog

Friday, October 24, 2008

Asubuhi, mchana na Jioni

Asubuhi, 8:05am, 24th Oct, KIA





Mchana, 12:45pm, 5th Oct,KIA (TanJet Hanger)





Jioni, 6:12pm, 22nd Oct, Highway to Arusha (Kikatiti)




Taswira hizi za asubuhi, mchana na jioni nimepiga maeneo ya KIA na jirani na KIA. Quality ya picha sio nzuri sana kutokana na aina ya camera iliyotumika (Nokia 6300)

No comments: