Tafuta/Search This Blog

Thursday, October 8, 2009

It is my day!!

Tarehe 8 Oktoba ni siku ninayokumbuka kuingia kwangu katika dunia hii kwa mara ya kwanza kupitia kwa familia ya Rev&Mrs Lwendo. Ninakaribia miongo 3 sasa humu duniani na kwa kweli ninayo kila sababu ya kumshukuru Mungu kwa upendo, rehema, wema na fadhili zake nyingi sana kwangu. Mungu amekuwa kila kitu kwangu ninamtegemea yeye na ninathubutu kusema kwamba kwa lolote au chochote nilichonacho hakuna jitihada yangu hata kidogo bali ni msaada tu wa Mungu. Watu wengi wamefanya jitihada za aina mbalimbali wakaishia kupoteza kabisa hata maisha yao lakini mimi Mungu amenikirimu sana, namrudishia yeye utukufu.

Namshukuru Mungu sana kwa wazazi wangu. Wao mara zote wamesimama na mimi kunitia moyo kunifariji, kunibariki kwa maneno yao na hata kunionya nilipokuwa nakwenda chaka!! Mungu awape uheri wa maisha marefu duniani.

Ndugu zangu na hasa Shalom Broz (Josh na Enson) i really feel so good to have you by my side! Love you so much. Esther, Fadhili, Elias nawapenda!!

Mattie you decorated my life! Need i say more??

My friends; Jimmy, Andrew,Asumpta,Naomi, Ida, Allan Mhiro you mean a lot to me!!

God bless all of you for being part of my life!!



Kaka Gee katika Kaunda suit pembeni ya mama pamoja na baba akiwa amemshika Josh na mwishoni dada Esther!!


Kaka Gee siku za mwanzoni nilipoanza kazi Dar es Salaam. looking young!!


Kazini KIA - August 2009.


Recent picture, last week at the place where i live in Arusha!!
Mshukuruni Mungu pamoja nami!!








5 comments:

Anonymous said...

HONGERA SANA KWA SIKU YAKO YA KUZALIWA.MUNGU AKUPE MIAKA 101 ZAIDI.HONGERA SANA.

Anonymous said...

GLORY TO GOD!
HAPPY BIRTHDAY BRO.

NIMEIPENDA PICHA No:1. IMENIKUMBUSHA GOD'S WORK IN OUR LIFE. ULIKUWA KATOOOTO, LEO HII M'BABA KABISA, ULIPOKUA UNAKUA HUKUWA UNAONA UNAVYOONGEZEKA UREFU WALA UMBO. LAKINI PIA NAKUMBUKA THAMANI YA WAZAZI KWANGU, WAMEKULEA KABLA YA HII TAREHE UNAYOSEMA UMEINGIA DUNIANI HADI LEO UMEKUWA M'BABA KABISA. BIG UP MR&MRS REV. LWENDO. REMAIN BLESSED ALL.

shalom broz productions said...

THANK YOU SO MUCH JAMANI. NINGEFURAHI ZAIDI KAMA MNGENIAMBIA MAJINA YENU LAKINI HATA HIVYO MUNGU AWABARIKI SANA.

-GODLOVE.

ASU said...

CONGRATS MA FRIEND,REAL GOD HAS A DIVINE PURPOSE FOR YOUR LIFE AND ITS MA PRAY THAT IT WILL BE FULFILIED WITH FULL OF HAPPINESS AND VICTORY.
WISH YOU ALL THE BEST WITH MATIIIIIIIIII!!!!!!

NAWAPENDA BWANA YESU AWATUNZE.

Richard said...

Good memories, stay PUT in Christ!