Tafuta/Search This Blog

Monday, October 5, 2009

Paschaline

Katika kutembea tembea SBP imekutana na mdogo wetu mwingine wa St Joseph Ngarenaro ambaye alikwa akishherekea mahafal;i yake siku ya jumamosi. Na haya ndio mambo ya taswira siku hiyo.

Form 4's

Mgani rasmi katika mahafali hayo mh. waziri mama Nagu akifuatilia kwa makini

Paschaline akipokea cheti chake!



mama na mwana, full kicheko!



Paschaline akipozi na wadogo zake ambapo mdogo wake anayemfuata ni mwanafunzi wa kidato cha kwanza shuleni hapo. Inaonekana wazazi wake wako na imani sana na shule hii...

SBP inamtakia Paschaline baraka zote katika maisha na mafanikio makubwa katika mtihani ulio mbele yake.

1 comment:

Anonymous said...

Hongera kwa waliohitimu, na wanaoshikilia usukani, kila la heri.
Asante kwa picha za kumbukumbu, nzuri. Mungu awabariki!