Tafuta/Search This Blog

Monday, October 5, 2009

Ebenezer wa Sahara

Jamani msishange ni wiki ya graduation s hii. Graduand mwingine huyu hapa. Anaitwa Ebenezer Sahara!!

Mkaka akijipongeza na soda bariidiii baada ya kutunukiwa.


Mama Sahara (kulia) pamoja na rafiki akimshukuru Mungu pamoja na kijana wake.

Hefsiba akimpa tafu kaka yake.


Mzamiaji wa sherehe kama kawaida ndani ya nyumba...


SBP inampongeza sana Ebenezer pamoja na familia ya Sahara kwa hatua hii na inakutakia mafanikio katika yote na hasa katika mitihani ya kidato cha nne inayoanza wiki hii.

1 comment:

Anonymous said...

Ebenezer, uwe unatest shingo ya shati kabla hujanunua, mhhh hiyo imezidi