Tafuta/Search This Blog

Monday, July 11, 2016

Mwanza City Council, can you do something here??

Kati ya sehemu ambayo nadhani Jiji letu la Mwanza natamani sana lingeiangalia ni eneo la kuanzia daraja na Mto Mirongo hadi Nela ambalo mimi naona lingefaa sana kwa kustawishwa na kufanywa eneo la mapumziko na utalii. 
Eneo kama hili kule Zanzibar lilitengenezwa na kuwa eneo maarufu kwa mapumziko na chakula linaloitwa Forodhani.
Hebu fikirieni kufanya kitu pale jamani badala ya kupaacha kuwa sehemu ya kilimo cha mboga mboga na ufugaji wa samaki.


NIMEWAZA TU...

No comments: