Tafuta/Search This Blog

Sunday, April 24, 2011

Pasaka tukiwa Muheza kwa Mama Msuya

Maakuli tuliyaanza asubuhiiiiiiiiiiiii. Angalia hadi sura inabadilika kwa utamu..


Kwaya ilitumbuiza tukiwa kanisani. Philadephia Choir hiyo. Hata mimi niliwahi kuimbia hiyo kwaya. Nilifurahi kusikia wakiimba wimbo nilioutunga enzi hizoooooo


Rev. Martin Pyuza akishusha Gombo la Chuo....


Kwaya mpya ya Amani Katika kanisa la Tanzania Assemblies of Gog Philadephia Muheza mjini. Mama msuya anaimbia kwaya hii...


Mama Msuya akizirudi wakati wa Ibada ya siku ya Pasaka...


Baadae tulirudi home, Maza akaandaa maakuli upyaaaaaaaaaaaa....


Abigail James Andrew akifurahia Msosi wa home.



Elifadhili Msuya akiwa na Mchepenge wake baada ya kushiba misosi ya Pasaka


No comments: