Tafuta/Search This Blog

Monday, June 15, 2009

JoJo Jose na Matilda Jojo

Jana kulikuwa na Tamasha la uzinduzi na utambulishaji wa album 3 za familia ya Jojo na Matilda. Watumishi hawa ambao walioana mwezi wa 4 mwaka huu wakiwa na huduma binafsi, waliamua kuziunganisha huduma zao na kutoka pamoja wakiwa pamoja kama mume na mke na pia kama watumishi katika huduma moja ya uimbaji.
Matilda alikuwa anazindua DVD ya collection ya album zake na Jojo Alikuwa anawatambulisha wanaArusha album yake ya ULIUMBWA UTAWALE na mpya ya MUNGU USIYESHINDWA .


Matilda

Jojo Jose Mwakajila.

Wachungaji wakiziweka wakfu album hizo.

Kikundi cha waliowasindikiza Matilda na Jojo.

Solomon Mkubwa akimsifu Bwana

Papaa Felix akimsifu Bwana kwa sebene la ukweli.
Jimmy Kimu2o doing his thing!


Mzee wa 25 ambaye ndio alikuwa mshehereshaji akiwa Serious


Kaka Gee pia alikuwepo pembeni ya Jimmy.





Wapiga picha walikuwa weeengi na wengine walikuwa wanatumia simu zisizokuwa na camera lakini yoote ni kwa utukufu wa Bwana.




Sehemu ya umati mkubwa waliohudhuria.




Baada ya concert,Jojo akipongezwa na mama Kinabo wa Calvary Temple



Kaka Gee na Mtumishi Jojo.
Ni hayo tu!!

1 comment:

Mary Damian said...

Mungu aibariki huduma yenu, awe pamoja nanyi kwenye ndoa yenu!