Tafuta/Search This Blog

Wednesday, May 2, 2012

Wafahamu GREAT LAKES TRAINING INSTITUTE.

Great Lakes Training Institute ni taasisi inayojihusisha na kuwawezesha vijana na hasa wanafunzi kujifunza na kufahamu kuhusu maisha yao ya mbele na mafanikio yao wakiwa shuleni.
Taasisi hii iko chini ya uongozi wa kaka Fred Matuja imekuwa ikitembelea mashule na vyuo katika jiji la Mwanza ili kuufikisha ujumbe huu.

Ijumaa iliyopita walipata nafasi ya kutembelea shule ya sekondari ya Mwanza na hizi ni baadhi  ya taswira katika ziara hiyo.

Kaka Fred akiweka mambo sawa kabla ya kuanza kwa kipindi. Pembeni yake ni kaka Ndikumwami na dada Wema.

Kaka Fred akitoa somo kwa vijana.

Dada Wema naye akitoa ya kwake.

Wanafunzi wakisikiliza kwa makini.



Kaka Ndikumwami akishusha points zake


No comments: