Tafuta/Search This Blog

Sunday, April 8, 2012

Mwaluko Chilewa na Rehema ni Mume na Mke.

Hayawi hayawi mwisho yamekuwa!! kijana wetu Mwaluko sasa ni mume halali wa dada Rehema, arusi iliyofungwa mchana peupe mbele ya Mungu na mashahidi katika kanisa la Calvary Temple Arusha. Hizi ni baadhi ya picha za tukio hilo lililofanyika tarehe 31 March 2012.
Mwaluko akimwangalia Rehema kwa makini kabla ndoa haijafungwa.
mmhhhh!
Mwaluko akiweka sign katika mkataba wa ndoa.
Rehema pia akianguka sahihi kwenye mkataba.
Mama mchungaji, Linda Kimaro akiwa na vijana wake baada ya ndoa kufungwa.
wamependeza hawajapendeza??






Picha na wazazi.

pamoja na wamama!!

mapoozii!!

Rehema na mama Mdogo wa Mwanza pastor Tina.



Uhakika!!
mambo ya kekizzzz!!
Keki kwa mchungaji Kimaro
Baraka kutoka kwa mchungaji, nahisi anawaambia "zaeni mkaongezeka"



SBP inawatakia maisha mema ya baraka za Mungu siku zote.


No comments: