This is a production house where you will meet talented young men producing Video and graphic designing! SBP ina wataalamu wafuatao: Enson Msuya - Video and imagery specialist, marketing. Godlove Lwendo - Graphic Designer. You can contact us by these numbers, +255 784 494906, +255 756 025428 We will be more than ready to serve you for any of the service you will need from us as we have described them thereup.
Tafuta/Search This Blog
Thursday, May 31, 2012
Tuesday, May 15, 2012
NAFASI 200 ZA KAZI KWA VIJANA.
Shalom Broz Productions ikishirikiana na Makampuni matatu ya Energy Master, Age Parfect na Challenger yanakuletea nafasi za kazi kwa vijana wasio na ajira au wanaotaka ajira za ziada (Part time job). Semina ya mafunzo ya kazi hii itatolewa Pale Alharamain Sekondari Kariakoo. inatazamana na Benjamen Mkapa Sekondari na Shule ya Uhuru. Saa mbili asubuhi siku ya Jumamosi ya tarehe 19/05/2012.Anayependa kupata Fursa hii afike katika semina hii fika saa mbili asubuhi ukiwa na vitu vifyatavvyo bila kukosa.
1. Barua kutoka Serikali za Mitaa, inayoonesha kuwa wewe ni mkaazi wa eneo hilo
2. Kadi ya kupigia kura.
Vijana wenye umri wa miaka 18 hadi 28 wanahitajika zaidi.
Hakuna kiingilio.
Kwa mawasiliano na maelezo zaidi tafadhali piga namba zifuatazo
0718 817706 au 0784494906 Eneza
na 0713 977277 Tawale
Wednesday, May 2, 2012
Wafahamu GREAT LAKES TRAINING INSTITUTE.
Great Lakes Training Institute ni taasisi inayojihusisha na kuwawezesha vijana na hasa wanafunzi kujifunza na kufahamu kuhusu maisha yao ya mbele na mafanikio yao wakiwa shuleni.
Taasisi hii iko chini ya uongozi wa kaka Fred Matuja imekuwa ikitembelea mashule na vyuo katika jiji la Mwanza ili kuufikisha ujumbe huu.
Ijumaa iliyopita walipata nafasi ya kutembelea shule ya sekondari ya Mwanza na hizi ni baadhi ya taswira katika ziara hiyo.
Kaka Fred akiweka mambo sawa kabla ya kuanza kwa kipindi. Pembeni yake ni kaka Ndikumwami na dada Wema. |
Kaka Fred akitoa somo kwa vijana. |
Dada Wema naye akitoa ya kwake. |
Wanafunzi wakisikiliza kwa makini. |
Kaka Ndikumwami akishusha points zake |
Subscribe to:
Posts (Atom)