Tafuta/Search This Blog

Thursday, June 13, 2013

Tumempata Grace E. Msuya!!


Hatimaye kwenye familia ya mmoja kati ya wakurugenzi wa SBP, ndugu Enson pamezaliwa binti mwanana ambaye amepewa jina la Grace(pichani). Grace alizaliwa tarehe 5 May Dar Es Salaam akiwa ni mtoto wa kwanza katika familia hii. Mama wa mtoto, dada Rest pamoja mtoto mwenyewe wako salama kabisa.

Pongezi nyingi kutoka SBP.

No comments: