Uongozi wa Shalom Broz Productions unapenda kuwatakia wapendwa wooote mnaotufuatilia, heri ya Mwaka Mpya wa 2009!
Tunamwomba Mungu awajalieni nyote Afya njema na mafanikio katika mwaka wa 2009.
Tafadhali endelea kufuatilia blogu yetu.
Ubarikiwe!
This is a production house where you will meet talented young men producing Video and graphic designing! SBP ina wataalamu wafuatao: Enson Msuya - Video and imagery specialist, marketing. Godlove Lwendo - Graphic Designer. You can contact us by these numbers, +255 784 494906, +255 756 025428 We will be more than ready to serve you for any of the service you will need from us as we have described them thereup.
Tafuta/Search This Blog
Wednesday, December 31, 2008
Monday, December 22, 2008
Friday, December 19, 2008
Tangi J anameremeta!!
Tangi J akiwa na mpambe wake Joel.
Pole kwa kazi ngumu kaka!!
Baada ya miaka ya asignments, tests, mitihani, kukata kiu, GKB nk hatimaye kaka tangi J ambaye ni mmoja kati ya wamiliki wa Blogu hii, alibarikiwa kumaliza chuo Kikuu cha Mzumbe na kutunukiwa Shahada ya kwanza ya menejimenti ya Rasilimali watu!
Kwa msaada wa Mungu kijana aliweza kutoka mzumbe akiwa salama na wazazi waliamua kumwandalia sherehe ndogo ya kumshukuru Mungu hapo nyumbani kwao.
SBP tunamtakia mafanikio katika maisha yake ya huku mtaani!
Thursday, December 18, 2008
HEPI BESDEI UHU!!
stelingi mwenyewe katika vazi la kutokea!
Kupuliza mshumaa muhimu!!
Nani kama mama!!
Saturday, December 13, 2008
Tuesday, December 9, 2008
Sunday, December 7, 2008
Arusha mpaka Moro
Arusha kulikuwa na baridi sana na ukungu wakati ninaanza safari.
Upinde wa mvua kama unavyoonekana katika maeneo ya KIA junction na Maji ya Chai.
Between Same and Hedaru.
Mazinde Sisal plantation
Thame
Msamvu, Morogoro.
Msamvu, Morogoro.
Nilipata safari fupi ya Morogoro siku ya alhamisi tar4 Dec kwa ajili ya Graduation ya bwana mdogo Josh kule Morogoro vijijini, Mzumbe. hayo ni baadhi ya mapicha niliyofanikiwa kuyapiga njiani!
Picha za Graduation zitawajia siku za karibuni kutoka katika ofisi ya kuu ya Dar.
Kaka Gee, Arusha.
Thursday, December 4, 2008
Subscribe to:
Posts (Atom)