Tafuta/Search This Blog

Friday, December 19, 2008

Tangi J anameremeta!!


Tangi J akiwa na mpambe wake Joel.


Pole kwa kazi ngumu kaka!!

Cheers!! Kamau akiwa na mama na Baba!!








Baada ya miaka ya asignments, tests, mitihani, kukata kiu, GKB nk hatimaye kaka tangi J ambaye ni mmoja kati ya wamiliki wa Blogu hii, alibarikiwa kumaliza chuo Kikuu cha Mzumbe na kutunukiwa Shahada ya kwanza ya menejimenti ya Rasilimali watu!

Kwa msaada wa Mungu kijana aliweza kutoka mzumbe akiwa salama na wazazi waliamua kumwandalia sherehe ndogo ya kumshukuru Mungu hapo nyumbani kwao.


SBP tunamtakia mafanikio katika maisha yake ya huku mtaani!

1 comment:

Anonymous said...

Hongera sana anko Josh!! Well done for the efforts uv put to get to where ur! U deseve the best.

Mattie.