
Safari iliyopangwa kwa muda mrefu ilitimia.

Tulifika Kanisa la KKKT usharika wa Msangeni kutoa sadaka ya Shukrani siku ya Krismasi (Chrismas)

Madhabahuni tulipotoa shukurani yetu

uUongozi mkuu wa Dana. Mzee Ezekiel (Katikati) Rogers (kulia) na Adbalah Kibabu (kushoto)

Kaka Eneza (Enson) akimsaidia Mzee Ezekiel Kushuka. Ndo njia zetu

Papaa Shedrack Mzee wa Sun gogoz

Mama Yonael Alikuepo

Mwizi naye hakubaki nyuma kuwaingiza watu wa mjini Mjini... Hahahahahaha Alikiona cha Moto

Umati wakitaka kumpiga mwizi. Mimi kaka Eneza ndio nilijitahidi kumtetea lakini bado walimramba vya kutosha

Chini ya Ulinzi wa Christian na Msafiri

Wenye hasira zao wakifuatia nyuma. Mwe!

M h! Haya tena, Tuambie Mdogo wetu! Umetoa Mbuta?
1 comment:
mshikaji umeniuzisha sura dah!
Post a Comment