Wami hapo. tukiwa safarini kwenda Muheza. Kuanzia kulia ni Enson(Bonge), Paulina (mamaa kitinda mimba), Fadhili (BabaGlory), David(Mwana mpotevu), na Elias (Zee la kusi, au Baba Mchina)
Baada ya kuwasili kwa Mama Muheza Tanga kijiji cha Mdote.
Mama mzaa chema akimshukuru Mungu kwa Mwanae David aliyepotelea UGHAIBUNI kwa takriban miaka 16. mama alibubujikwa na machozi ya furaha siku hiyo
Mwana Mpotevu akitoa nasaha. alisoma zab 117 katika neno lake la Kumshukuru Mungu.
Enson/Eneza akitoa nasaha za Shukurani mbele ya waumini wa TAG Muheza
Kuanzia Kushoto ni Mama, david,Erica, Elifadhili, Elias,Eneza/Enson, na Paulina
Naukwea msandarusi..... Solomon akifundishwa ukwezi na Baba yake mzazi. Historia ya familia yetu inaonesha Babu wetu alikua Mkwezi.....
Tunabadili pozi
Watoto wote wa familia ya Mzee Solomon Msuya. hatujawahi kukutana hivi yapata miaka 20 iliyopita. Angekuepo marehemu Baba yetu tungekutana wooooooooooote.
Asante yesu kwakuwa umwema.
Mwaka 1995 Kaka yetu mpendwa David alisafiri kwenda masomoni Ukraine ktk nchi za Kirusi. alifanya masomo yake ya kompyuta na baadae kulowea huko. alioa huko na anaishi na mtoto wa kirusi Shem Hellen. tulimwomba Mungu sana amrudishe bila mafanikio. Kumbe alikua anajipanga kutia timu home. Juzi tar 19 May 2011 alitusaprizi kwani alipiga simu akisema nipo kipawa. haikua rahisi sana Kuaminimwacho. ila kweli alikua amerudi. imepita miaka 16 toka aondoke. lakini tumepata nafasi ya kumshukuru kwa pamoja....
......jina la Bwana libarikiwe...

1 comment:
Kwakweli namshukuru Mungu kwa hili, hata mimi nilishindwa kuamini lakini kwa picha hizi bwana Yesu ANAWEZA ameni!!! mmefanya kazi nzuri watumishi wa Bwana!! nalitamani niwepo kwenye ibada hiyo lakini yote ni mema, naungana nanyi nikisema kwa kuimba ASANTE YESU!!!!!!
Post a Comment