Tafuta/Search This Blog

Thursday, July 28, 2011

Katika nyumba ya Lwendo amezaliwa Mjukuu. Gratian Godlove Lwendo

Tunamshukuru MUNGU kwa kuongeza uzao katika familia ya Mkurugenzi mwenzetu wa Shalom Broz na kuwapa Gratian mtoto wao wa kwanza wa Kiume.

SBP waendeleza Mashambulizi.... Kakalao latangaza nia. Ndoa tar 6 Nov

Mambo haya huendana na Hissia


Enson akimvisha mchumba wake Rest Pete ya Uchumba...

Maombi kutoka kwa wachungaji na Wazee. Kulia ni Mch S.Molel wa TAG Kigogo/Mburahati

Mahanjumati yalirindima kupendezesha cku hiyo.

Fahari ya vijana ni nguvu zao. Enson Juujuu akipelekwa mbele kwa mbwembwe.


Mavuvuzela yalikuepo kusherehesha siku hiyo tar 10 July 2011. Mch Manase Mhiro akilivumisha. wasambaa wanaliita "GUNDA"

Tuesday, July 5, 2011

SBP ndani ya Jiji la miamba!!

Najua umeshaona taswira nyingi sana kutoka katika jiji hili la Miamba(Rock city) na mimi sitapenda kukuletea zilezile ila nakuletea nilizozipenda katika jiji hili.


Sunset
Jua likiakisiwa na maji ya ziwa Victoria mojawapo ya jioni tulivu ya jiji la Mwanza.

Napenda tu mfahamu kwamba SBP sasa imepata mwakilishi katika jiji hili la Kandoro.
Mapicha kibaoooo yatafuata!!

Friday, July 1, 2011

Picha bonba ya wiki...Evelyne Rwechungura ang'ara katika Blog hii.

Evelyne Rwechungura(24) Mtoto wa Kihaya anapatikana Kibaha maili 1. kwa sasa anazungumzia abroad, picha yake imeng'ara wiki hii katika picha zilizowekwa katika mtandao wa jamii wa facebook. Pozi zuri lakupendeza.

STUDY IN UKRAINE & RUSSIA

NAFASI ZA MASOMO UKRAINE NA RUSSIA
tunatangaza nafasi za masomo kwa vyuo vikuu katika nchi za Ukraine ambapo ada ya masomo ni nafuu sana na elimu ni bora

Kozi zifuatazo zinatolewa pamoja na nyingine nyingi ambazo inawezekana hatukuzitaja.
1. Medicine
2. Pharmacy
3. Stomatology
4. Dentistry
5. Paediatrics/Nursing
6. Biomedical/Chemical Engineering
7. Automobile Engineering
8. Road and highway construction engineering
9. Computer Engineering
10. Information and Technology (IT)
11. Aeronautical and aviation engineering
12. Flight, Navigation, and Piloting
13. Machinery construction Engineering
14. Mechanical & Electrical Engineering
15. Economics
16. Accounting and Business Administration
17. Tuarism and Hotels Management
18. Judiciary Laws
19. Ecology/Mining industry and Environmental Technology
20. Theatre, Music Arts
21. Agronomy
22. Oil and gas Engineering
23. Marine and Sailing etc...

Msimu wa masomo unaanza Tarehe 01 September ya Kila mwaka.

wahi ujisajili kwa nafasi bora, rahisi na nafuu.

Tangazo hili limetolewa na Dasprom Company (T) LTD na Scholarship Agency

MAWASILIANO
+255788269951
+255717020866
+255767494907 Zote Tanzania...

Adress Ukraine

Tel: +380935348972

web adress: www.scholarshipp.com.ua