Tafuta/Search This Blog

Tuesday, July 5, 2011

SBP ndani ya Jiji la miamba!!

Najua umeshaona taswira nyingi sana kutoka katika jiji hili la Miamba(Rock city) na mimi sitapenda kukuletea zilezile ila nakuletea nilizozipenda katika jiji hili.


Sunset
Jua likiakisiwa na maji ya ziwa Victoria mojawapo ya jioni tulivu ya jiji la Mwanza.

Napenda tu mfahamu kwamba SBP sasa imepata mwakilishi katika jiji hili la Kandoro.
Mapicha kibaoooo yatafuata!!

No comments: