Tafuta/Search This Blog

Tuesday, August 23, 2011

I love this....

Binti mdogo wa Rais Obama, Sasha, akiwa amejificha nyuma ya kochi ili amstue baba yake anayeonekana akiwa busy na kazi katika ofisi yake.

1 comment:

Anonymous said...

Duh! Sasa mpiga picha yeye alikuwa kajificha wapi?