Tafuta/Search This Blog

Thursday, August 18, 2011

Inasemekana kwamba jiji la Mwanaza litakuwa gizani kwa miezi minne kwa sababu kwa sasa kuna 4MW tu alocated to this city badala ya 46MW zinazohitajika!

Mimi kama mkazi wa hili jiji nimechukizwa sana na taarifa hizi maana ni kama ilikuwa inasubiriwa kupitishwa kwa bajeti ya wizara husika ndo haya yatokee. Hii si habari njema kwa uchumi wa jiji na nchi kwa ujumla, na kwa jamii yote!

Miaka 50 ya uhuru bila uhuru wa kweli!!!

No comments: