Tafuta/Search This Blog

Tuesday, July 17, 2012

NI FURAHA NA ZAWADI

Tarehe 7 mwenzi wa saba mwaka 2012 katika mji wa Geita mkoa mpya wa Geita, vijana hawa walisimama mbele ya Mungu, wazazi na mashahidi wote kutangaza kwamba wameamua kuishi pamoja kama mume na mke.

Hizi ni baadhi ya picha katika tukio hilo adhimu.

Ndio yeye?? Ndiye!!


Pete...
Bishop Masunga akiwaunganisha vijana.
we have the reason to sing.
Signing the contract.
Kijana akichukua cheti.

Ninaapa kwamba...
Bishop Masunga


Pastor Tina wa KVCC Mwanza na vijana wake.


Mwanaume hasifiwi kula...anasifiwa nguvu bwana...






Mr&Mrs Lwendo pamoja na bwana arusi.

mtaalam wa video kutoka jijini Mwanza kaka Sam, akichukua tukio kwa umakini.




wazazi na maarusi.


Mr&Mrs Furaha.






Vyeti.





Add caption









Kaka huyoo ameoaaa!!
Mwisho kabisa...... Mhhhh!!


No comments: