Mwaka umeanza na shangwe pia zimeshaanza. Mdogo wetu hatimaye amefanikiwa kumaliza masomo yake na kutunikiwa diploma katika taasisi ya IIT hapo Dar Es Salaam. Hizi ndio picha za tukio.
 |
Pozi la kisomi. |
 |
Mdada. |
 |
Mama na binti yake. |
 |
Mfanano, kama mtu na dada yake. |
 |
Fullu tabasamu... |
 |
Hongera dada. |
 |
...Na hasa kama una akili... |
 |
Zaidi ya diploma binti huyu pia alipata tuzo kadhaa kwa kuwa mkali sana darasani. |
Tunakupongeza sana mdogo wetu na tunakuombea heri ili uende mbele na mbali zaidi.
Hongera nyingi kutoka kwa kaka mkubwa Godlove.
No comments:
Post a Comment