Tafuta/Search This Blog

Saturday, July 27, 2013

Shule ya msingi Bugungumuki...





Shule tulizosoma sisi wananchi wa kawaida kabisa. Nimeikuta shule hii maeneo ya Ibanda, Mwanza. Ikanikumbusha mbali sana, wakati tukipaka mawe ya shule chokaa ili shule ipendeze.

Ila jina la hii shule ukilirudia mara tatu au nne lazima utapaliwa tu! Bugungumuki!!

Thursday, July 25, 2013

Our Gratian is 2 years old!!

Tunapenda kumshukuru Mungu kwamba kijana wetu Gratian amefikisha miaka miwili sasa. He is very active, running over all the house and trying each and everything infront of him. Here are some pictures...
Mr Gratian!

Serious "him" on the serious business. He will be blogging very soon.



Like father like son. Musician.
Baba na Mwana time.



Mama na Mwana time.

Some crazie moments.

Are you with meee!!!

I want to be like dadie!

Wednesday, July 17, 2013

Magazeti ya Leo 17/07/2013





Karibu na Kesho.....

RAIS MUGABE ATOA TAMKO JUU YA MASHOGA NA WASAGAJI NCHINI MWAKE ADAI LAZIMA WAZALIANE LASIVYO MBARONI

Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe ametoa kali ya mwaka kwa kuwachimba mkwara Mashoga na Wasagaji kwamba wasipotiana mimba ni lazima atawafunga jela.


Mugabe ametoa kali hiyo Ijumaa wakati akizindua kampeni za chama chake cha Zanu PF huko Zimbabwe.