Tafuta/Search This Blog

Tuesday, September 30, 2008

Patashika NGUO kuchanika Pale TAG Kigogo. Gwiji la Makapela Simon Mmbaga alipokua Akitangaza uchumba na Joyce Tembo. we acha tu

We we we ilikua hapakaliki, Hata Mapaparazi waliacha kazi yao na kuanza kuyaruka majoka(kushangilia) nilibaki Mwenyewe paparazi. Thibitisha kwa kumwonw huyo aliyenaswa na kamera ya Shalom Broz. Simon Huyo akishangiliwa vikali.
Dada Joyce akiburutwa mbele na washabiki waliomiminika kanisa la TAG Kigogo. angalia mwenyewe
Umati wote huuu kwa ajili ya Simon na Joy.
Simon na Joyce wakitangazwa kuwa ni wachumba.

Hatuamini (KWELI HATUAMINI)

Simon Mmbaga Akiwa mbele ya umati ili kuutangazia umma yanayojiri. alininong'oneza kuwa Haamini yanayo endelea pale.Joyce Tembo mbele ya umati. Kweli hata yeye alikua haamini yanayoendelea.

Baada ya Pete Kupigwa Sala, Simon aliuhakikishia UMA kuwa amemtwaa Joyce kama Mchumba wake

MAMA Mch. Happy Lwendo akiombea Pete ili Uchumba Udumu na kisha SIKU hiyo! Ifike"Pokea Pete hii ikiwa ni ishara ya kukuhakikishia kuwa wewe Joyce ni Mchumba wangu Halali."Maneno ya Simon akiingiza pete ktk kidole cha Joyce Tembo kiitwacho 'Chapete'
Mtoto Iluminata, akipeleka zawadi kumkabidhi Joyce ili naye aonyeshe mwitikio wa pete ile. (acceptance)


Simon Mmbaga. Akipokea zawadi Toka kwa Joyce.


Tuesday, September 23, 2008

The Five Finger Prayer

1. Your thumb is nearest you. So begin your prayers by praying for those closest to
you. They are the easiest to remember. To pray for our loved ones is, as once said,
a "sweet duty."
********************************************************************************************************
2. The next finger is the pointing finger. Pray for those who teach, instruct and heal. This includes teachers, doctors, and ministers. They need support and wisdom in pointing
others in the right direction. Keep them in your prayers.
********************************************************************************************************
3. The next finger is the tallest finger. I t reminds us of our leaders. Pray for the president,
leaders in business and industry, and administrators. These people shape our n ation
and guide public opinion. They need God's guidance.
********************************************************************************************************
4. The fourth finger is our ring finger. Surprising to many is the fact that this is our weakest
finger, as any piano teacher will testify. It should remind us to pray for those who are
weak, in trouble or in pain. They need your prayers day and night. You cannot pray too
much for them
*****************************************************************************************
5. And lastly comes our little finger - the smallest finger of all which is where we should
place ourselves in relation to God and others. As the Bible says, "The least shall be the
greatest among you." Your pinkie should remind you to pray for yourself. By the time
you have prayed for the other four groups, your own needs will be put into proper and
you will be able to pray for yourself more effectively.
*********************************************************************************
Msg hii ni kwa hisani ya dada Annamaria wa TCAA JNIA. Asante sana rafiki!

Saturday, September 20, 2008

From Arusha with Love!!

Leo ni birthday ya rafiki yetu mpendwa anayeitwa Godfrey. Amezaliwa miaka kadhaa iliyopita. nimeona nimuenzi kwa kuweka picha zinazomhusu hapa katika blog yetu. Kwa bahati mbaya quality yake sio nzuri saaana kwani zilichukuliwa na camera ya simu.



Huyu ndiye Godfrey na hapo mwanzoni akiwa na dada zake wa karibu sana.



Haya na kaka godlove yupo ndani ya nyumba na godfrey na dada mwingine!!

Happy Birthday Godfrey!!

Arusha by morning!!

Jamani hii ndio njia inayoelekea nyumbani kwa kaka Godlove. Kuna watu najua mmeanza maneno, ooh jamaa anakaa chaka ooh nini....MTAJIJU!!

Kumbukeni: Njia ilee ni nyembamba iendayo uzimani.

Thursday, September 18, 2008

Wadada wa Ester Baada ya Send Off Kumalizika. Hata taa za ukumbi zilikua zimesha zimwa.


Ndugu wadau wa Hsahlom Broz Tutaongeza picha kama maombi ya kufanya hivyo yatatolewa kupitia maoni/comments box

Huyu Hapa Ndiye.

Bi na Bw Arusi watarajiwa. onaaa ore ore ore ore!!!!!

Hapa ni Msangi na Msuya, Hebu angalia hapo hawajaoana wameshapendeza hivyo. Je wakikamilsha juma mosi itakuaje? Du!

Mapozi.



Ester na Eva, weeeeeeeeee! Usipime. (Dont measure)

Mambo ndani ya ukumbi Wazazi.






wazazi wa pande zote
ktk gari. Utapenda mwenyewe

Baada ya Kupambwa akapambika.




Esther & Eva wakiwa ktk mapozi tofauti wakijiandaa kwenda ukumbini. Walipendeza Kupita kiasi.

Hongera ESTER Y MSUYA



Send Off Party ya Ester Y Msuya. Hapa akiwa Salon na Mpambe wake wa Karibu Eva Msuya.

Saturday, September 13, 2008

UJUMBE

Wapendwa,

Ninaye rafiki yangu anaitwa A.J Kaluse. Huyu bwana huwa na mawazo ya tofauti sana na wengi wetu kuhusiana maisha. Mimi namfurahia sana kwa sababu mawazo yake huwa yananifurahisha. Amenitumia mail hii ambayo nimeona niiweke kwenye blog yetu ili niskie ninyi wapendwa wetu mtasemaje. Naamini ninyi woote ni watumiaji wa barua pepe. naomba kusikia maoni yenu.

NB: Kaka Kaluse samahani sana kwa kutumia ujumbe wako bila kukutaarifu, naamini utanielewa.

Dear All,

Let us share some of kaluse's ideas.
1. kwa nini mail nyingi tunazotumiana ni za vichekesho kuliko uelimishaji.?
2. Isitoshe idea ya kwanza ya maili tunazotumiana ni za kucopy and kupaste au forwaded?
3. Ni kweli hatuna uwezo wa kufikiri mambo na kutaarifiana yanayohusu nchi yetu au Afrika yetu mpaka twende kwenye websites za nje ya Afrika kunukuu?

NDUGU WAPENDWA, RAFIKI NA JAMAA ZANGU. SAMAHANI KWA WALE NITAKAOWAUDHI,MIMI BINAFSI SIPENDEZWI NA MAIL MOJA KUTUMIWA NA WATU MIA MBILI KWANI HII HUNIFANYA KUJIONA KAMA SISI HATUNA UWEZO WA KUFIKIRI NA KUIBUA MAWAZO MAPYA.
BASI JARIBU KUFANYA HATA EDITING TO SOME PLACES, JAMANI HATA NUKTA TUNAKUNYWA AAH MAZEE IISIYO.
KIBAYA ZAIDI MAIL ZINGINE SIO CURRENT YANI ZA CHIMBO(ZA MIAKA KIBAO ILOPITA) HALAFU BILA SONI MTU ANAKUTUMI KAMA ILIVYO BILA KUJUA YEYE NDIO KACHELEWA KUFAHAMU HUO UJUMBE.
NB;
NAOMBA NIELEWEKE SIKATAI KUPASHANA HABARI ZA NJE YA AFRIKA LA HASHAA, ILA ZIWE ZA KUENDANA NA WAKATI NA ZA AINA TOFAUTI YANI ZA KUCHEKESHA,KUELIMISHA,KUHUZUNISHA, NA KUONYA AU VINGINEVYO ZAIDI.

Tuesday, September 9, 2008

Hata huku Arusha Tupo.



Wapendwa wetu,


Tunataka tuwaambie kuwa hata huku Arusha tupo na katika kuwathibitishia hilo leo tuna wawekea picha za maeneo ya Arusha!!
Hebu tuwe wakweli kidogo, Arusha ni pazuri kuliko Dar! Au!

Monday, September 8, 2008

Mambo ya Baharini hayo. Amos mwakifuna na Mkewe


Ilikua ngumu sana kumbeba, ila mwisho alifanikiwa. Hapo akiwa amebebwa.

Watoto wa Amos wakiimba kumpongeza Baba na Mama yao


Wataalam wa uimbaji.watoto wa Mr & M

Amos Mwakifuna

Baada ya ndoa yao kubarikiwa Agape Life Church.

Mr Amos Mwakifuna na Mke wake Mpenzi

Arusi ya Amos Mwakifuna wa Dar es Salaam Tanzania iliyofungwa leo Tar 7 Septemba 2008 Kanisa la Agape Life (maarufu ATN) Walipendeza Sana. Shalom Broz walifanya kazi ya kupiga picha Mnato (Steel Pics)

Ben and Aghata

Hapa ni Kanisa la TAG Kinondoni Revival. Ben Sichone akiuthibitishia Umati wa kanisa hilo kuwa amemchumbia huyo dada anayeonekana hapo. Picture by Shalom Broz Prod.