Tafuta/Search This Blog

Tuesday, February 17, 2009

Mambo ya Halima/ Vanessa. Kitchen Party ya kufana 15/02/2009

Kitchen Party Hall, pale Mburahati. hapa Halima/Vanessa bado hajawasili ndani ya ukumbi
Pamoja na mpambe wake, wamependeza kupita kawaida.Vanessa ktk pozi

Wazazi wa Halima/Vanessa


Shukurani.
"Napenda kuwashukuru wazazi wangu kwa kunitunza hata sasa nakwenda kunza maisha na Mume wangu mpendwa. Asanteni wooooote mliohudhuria."










1 comment:

Anonymous said...

umependeza, umetoka bomba vazi si mchezo big up kwa watayarishaji wote