Tafuta/Search This Blog

Monday, February 23, 2009

Marafiki!!

Endapo utapata nafasi ya kutulia na kutafakari marafiki ulio nao, utagundua kuwa una nafasi kubwa ya wewe kusimamia mambo yako mwenyewe.Nimeanza kwa kusema hivyo kwa sababu mara nyingine rafiki yako ndiye anayekuwa kikwazo cha mafanikio yako kwa kukurudisha nyuma fikra zako kimaendeleo.Rafiki huyo badala ya kukusaidia kimawazo, atakushawishi muende maeneo ya starehe mara nyingine unapotaka kufanya jambo hukukatisha tamaa kwamba hutafanikiwa na kukutolea mifano ya watu walioshindwa katika maisha yao.Ieleweke wazi kuwa kwenda katika maeneo ya starehe si vibaya, maadamu ujue unakwenda pale kwa malengo. Sasa basi kupitia marafiki zako, utaweza kugundua mambo wanayoyapenda na shughuli wanazopenda kuzifanya zinazofanana na za kwako....

Unaweza kusoma zaidi article hii na article nyingine zinazofanana na hii kwa kupitia kwenye blogu ya dada Lucy Ngowi au kwa kubofya hapa.

No comments: