Tafuta/Search This Blog

Wednesday, February 18, 2009

The Dar Es Salaam CITY

Jiji la Dar linajengwa na linajengeka. Kwa wale ambao mko nje ya Dar au nje ya Tanzania tunawatumia picha recent za jiji letu kubwa na hasa mijengo ya ukweli inayochipua kila siku na kulipendezesha jiji hili.

Mlimani City kwa mbali.

Ujenzi unaendelea wa Tume ya mawasiliano along sam Nujoma road.

kivuko kipya, MV Magogoni.

Majengo yenye utata, Twin towers za benki kuu


Kilimanjaro Hotel






NSSF waterfront.




Wizara ya Maliasili, barabara ya Nyerere.

2 comments:

Anonymous said...

Ah!! Jamani bongo pametulia, sema tu, chanikiwiti(greenish) haijatulia, kwa kweli kwa usawa wa majengo, unaweza ukasema kua upo ughaibuni.
Thanks shalom bros kwa kutu-up date. Mungu awabariki.
Mdau kutoka ukerewe.

Anonymous said...

Thanks for the photos Shalombroz!