Tafuta/Search This Blog

Monday, November 21, 2011

Kumbikumbi!

Msimu wa mvua huwa na neema hizi pia. Jirani yangu aliwakamata hawa chakula wengi akaniletea na mimi. Nilisahau kuwapiga picha hadi walipokuwa mekaribia kabisa kuisha nikaona tufaidi pamoja na wewe mdau. Haya karibu japo mmoja wa kuonja hata kwa macho tu...

1 comment:

Anonymous said...

Du, mmenikumbusha mbaali.. watamu sana.