Tafuta/Search This Blog

Friday, November 11, 2011

Hatimaye Enson....


Enson akiombewa baraka na wachungaji.



Enson na mkewe Rest.





Enson yupo karibu sana na watoto na hapa walikuja kumpongeza.


Uncle Temba akifuatilia kwa makini ibada ya ndoa iliyoongozwa na mchungaji Martin Pyuza kutoka TAG Muheza.






Mambo ya kekizz. Rest akimlisha mumewe huku kaka mkubwa Simon Mmbaga akishuhudia.




Mkurugenzi akipeleka keki kwa wakwe zake.



Familia ya mzee Solomon Msuya kwa pamoja wakiongozwa na mtoto mkubwa kaka David.







Wanandoa.


Mr&Mrs Mmbaga


Mr&Mrs Mwakisambwe.
Mr&Mrs Lwendo






Mkurugenzi hatimaye ameoa. Amemuoa Rest Kileo. Wote walisoma sekondari ya kilimo ya Ifakara, huko ndiko walipokutana. Arusi yao ilifungwa katika kanisa la TAG Kigogo Mburahati na sherehe kufanyika kwenye ukumbi wa Mwika, Sinza.

3 comments:

Subi Nukta said...

Pongezi kwako Enson na bi Rest kwa kufunga ndoa.
Mungu awe nanyi na aongeze mafanikio mema!

mdogo wako wa TCAA said...

Aisee..hongera zao sana, sikujua kama Enson alifunga ndoa... tena ukumbi uko karibi kabisa na nyumbani, next door. kaka Godlove umeninyima taarifa hii. Mungu awatuze. karibuni kwetu.

shalom broz productions said...

Mdogo wetu wa TCAA, nasikitika ulikosa taarifa hii muhimu na pia ninasikitika kwamba tulikuwa karibu sana na kwako. Nahisi inabidi ujitahidi pia kukaa karibu na kaka zako ili taarifa zisikupite tena. Hata hivyo tunafurahi umepitia kwenye blog yetu.
Kaka Gee.