Mavumbini ulitoka na mavumbini utarudi. |
Bibi Judith akiweka shada la maua kwenye kaburi la marehemu mume wake. |
Mama yetu akiweka shada la maua kwenye kaburi la mkwe wake. |
Hapa ndipo tulipoulaza mwili wa babu yetu. |
Ndugu katika kaburi |
Old friends! kaka Gee na rafiki yake ambaye pia ni babu yake mzee Mazengo. |
Tunaendelea kumshukuru Mungu kwa maisha ya Babu yetu!
No comments:
Post a Comment