Tafuta/Search This Blog

Tuesday, November 27, 2012

Sasa ni Andrew Msegu na Elizabeth Ngajilo

Baada ya kusubiri kwa muda mrefu sana, Hatimaye kijana wetu Andrew Msegu a.k.a Ebenezer aliuaga ukapera kwa kumuoa binti kutoka uwanji Elizabeth Ngajilo. Arusi ilifungwa Calvary Temple na sherehe ya kuwapongeza ilifanyika katika mjengo wa Lush Garden jijini Arusha. Hizi ni baadhi ya picha zilizopatikana katika tukio hilo.

Mr and Mrs Msegu. Fullu kutabasamu!!


Mr and mrs Msegu walisindikizwa na Mr&Mrs Lwendo wa Mwanza.

Pozi la Kimajukumu zaidi.

Mtu na mtu wake.

GeeLove na Tildalove

Mmmmh mabusu.


Mchungaji Msegu akiwa na wanawe.



Kwaitozz

Bwana arusi mtarajiwa Jimmy Kimutuo akiwa anamsindikiza mwenzake kwa wimbo pamoja na Voice Of Triumph!

VOT, wako njema sana hawa.

bibi arusi na mwenziwe kwenye Kwaito.


Sisi SBP tunawatakia maisha mema ya ndoa. Mbarikiwe sana.

No comments: