Tafuta/Search This Blog

Wednesday, August 21, 2013

Allen Mmbaga na Sophia Mgasa, wamemeremeta!


Yametimia! Kijana wetu Allen Mmbaga hatimaye ametimiza lengo lake la kumuoa mchumba wake na rafiki yake wa siku nyingi Sophia Mgasa. Ndoa yao ilifungwa siku ya jumapili tarehe 11 August 2013 katika kanisa la TAG Kigogo Dar Es Salaam.  Mchungaji Titus Mkama ndiye aliyeongoza ibada hii iliyoshuhudiwa pia na wazazi wa pande zote mbili.

SBP ilikuwepo kwenye eneo la tukio na hizi ni baadhi ya picha za siku hiyo.
Dada Sophia tayari kwenda kukabidhiwa...
Sophia na Matron wake, Matilda

Vijana wakimsikiliza mchungaji Titus Mkama kwa makini sana.

Vijana wakipokea maombi makubwa kutoka kwa wachungaji.

Presenting Mr and Mrs Allen & Sophia Mmbaga na wasindikizaji wao Mr and Mrs Lwendo.

Smiles za uhakika.

Neema, wifi wa Sophia.

wazazi na vijana wao.

Couples


Wadadazz

Wakaka

Kama inavyoonekana



Vijana baada ya arusi wakiwa kwenye mapuziko ya fungate/honeymoon.

misosi.


SBP inawatakia maisha mema na marefu ndugu zetu hawa.

No comments: