Tafuta/Search This Blog

Thursday, August 29, 2013

BREAKING NEWS......

Habari Tulizozipata punde katika chumba chetu cha Habari zinasema Askofu Moses Kulola wa kanisa la EAGT amefarika Dunia baada ya kuugua. Habari kupitia Mtandao wa CITE zinasema amefariki leo asubuhi na habari hizi zimethibitishwa na Mtoto wake Mchungaji Daniel Kulola.

Tutazidi kukupa habari kadri tunavyozipata.

Poleni wa Tanzania kwamsiba huu Mkubwa.

1 comment:

Anonymous said...

Vita amevipiga na kazi ameimaliza, Mungu atusaidie tuliobaki tutumike kwa kadri ya vile Mungu anavyotaka tufanye. Pole sana na kwamilia lakini Ametangulia kwa baba kula raha...